jux2

Video Mpya: Jux- Sisikii

Jux ameachia video ya wimbo wake ‘Sisikii‘ iliyoongozwa na Zeddy Benson. Video hii  ilikuwa inatarajiwa sana baada ya kusambaa kwa picha za behind the scene zikimuonyesha Vanessa Mdee na Jux ambao kwa kihalisi ni wapenzi. Bonyeza kwenye video kuuskiza wimbo huu. Kumbuka kwamba kila Jumatatu hadi Alhamisi ni muziki kem kem katika kipindi ‘Wakilisha’ saa […]

Videos | January 19th, 2015

Kevin-Wyre

Video Mpya: WYRE ft. BENJAMIN KABASEKE – MONIE

Muimbaji Mkenya Wyre The Love Child ametoa video mpya kwa jina Monie. Wimbo huu ni mchanganyiko wa Dancehall na wimbo uliovuma wa mkongwe wa Soukous, Kanda Bongo Man, ulioitwa Indi Monie. Benjamin Kabaseke pia yupo ndani, akiongoza na mtindo wake wa kuimba Lingala. Pata kuuskiza hapa.Kumbuka kwamba kila Jumatatu hadi Alhamisi ni muziki kem kem […]

Videos | January 5th, 2015

Willy Paul 1

New Video Alert: Willy Paul – Mamangu

Kenyan Gospel star, Willy Paul, is back yet again with another video specially done for his mother. Willy Paul says that, Mamangu, is a testimony and a prayer that he has written as a dedication to his mother, who has been ailing for over 15 years. “I want to share the love I have for […]

Videos | December 16th, 2014

P-Unit

New Video Alert: P Unit – Weka Weka

Kenya’s pop group, P-Unit, is shutting down the year on a high. The group has just released the video to their latest popular single, Weka Weka, off their album, Wagenge Hao Tena. And if the success of the audio is anything to go by, you will soon be jamming to the video. Check it out;

Videos | December 16th, 2014

Habida

New Video Alert: Habida – Super Woman

Super beautiful and talented Kenyan singer, Habida, has broken her silence with a spanking new music video dubbed Super Woman. She says, “Superwoman even in pain she stands up. Even in sadness she smiles. Even in fatigues she hustles! A superwoman always overcomes and you will never know by how much!” Check it out;

Videos | December 11th, 2014

AY akiwa location na Sean Kingston nchini Marekani wanakoandaa video ya nyimbo yao ya pamoja

Video Mpya: Touch Me Touch Me – AY Feat. Sean Kingston & Ms Triniti

Ni video mpya inayoitwa ‘Touch Me’ kati ya AY na wanamuziki wa kimataifa Sean Kingston na Ms.Triniti. Tulikuwa tumeuzungumzia hapo awali, hivyo ukitaka habari zaidi bonyeza hapa.   Kumbuka kwamba kila Jumatatu hadi Alhamisi ni muziki kem kem katika kipindi ‘Wakilisha’ saa kumi na moja jioni kwenye DStv idhaa 158 na GOtv idhaa 3!   http://youtu.be/uq6fKr6Bipw

Videos | December 10th, 2014

mdee

Video Mpya: ‘Hawajui’- Vanessa Mdee

Ni video mpya kutoka kwa mrembo wa Tanzania Vanessa Mdee inayoitwa ‘Hawajui‘ iliyofanyika nchini Afrika Kusini. Pata kuitazama hapa.   Kumbuka kwamba kila Jumatatu hadi Alhamisi ni muziki kem kem katika kipindi ‘Wakilisha’ saa kumi na moja jioni kwenye DStv idhaa 158 na GOtv idhaa 3!    

Videos | December 9th, 2014

tid

Video Mpya: T.I.D ft Nazizi- Pressure

Kama vile Nazizi, TID amekuwa katika Bongo music scene kwa muda mrefu sana … Sasa wameshirikiana tena kutoa video mpya iitwayo  “Pressure”. Sikiliza hapa. Kumbuka kwamba kila Jumatatu hadi Alhamisi ni muziki kem kem katika kipindi ‘Wakilisha’ saa kumi na moja jioni kwenye DStv idhaa 158 na GOtv idhaa 3!        

Videos | December 4th, 2014

Jaguar-and-Iyanya-One-Centimeter-Remix-e1416744785732

New Video Alert: Jaguar ft Iyanya – One Centimeter

Following the success of One Centimeter by Kenya’s celebrated, princely and unmatched singer, Jaguar, a remix had to be crafted. And the opulent but equally philanthropic singer looked West for artiste to do the remix with. And his eyes fell on Iyanya. And just like that One Centimeter, the remix, was born. If you liked […]

Videos | November 25th, 2014

DStv Soko

Buy your decoder online

Hot on TV

Enjoy the hottest TV shows on DStv

Watch TV anywhere, anytime

Download the DStv Now app

DStv Eazy Self Service

Manage your DStv Subscription online